juu.co.tz

Software solutions zinazorahisisha kazi za taasisi zako.

JUU hutengeneza mifumo ya kidigitali kwa biashara, serikali, NGOs na taasisi nyingine zinazohitaji usimamizi bora, taarifa sahihi na huduma zinazofanya kazi kwa kasi.

Kuhusu JUU

Tunajenga mifumo inayolingana na mazingira ya kazi ya mteja.

Tunaunganisha uchambuzi wa mahitaji, usanifu wa mfumo, utengenezaji, deployment, support na maboresho endelevu. Lengo letu ni kusaidia taasisi kutumia teknolojia kupunguza kazi za kurudia, kuongeza uwazi na kufanya maamuzi kwa data.

5 Software products live
24/7 Systems built for online access
TZ Built for local institutions

Huduma Zetu

Technology partner kwa mabadiliko ya kidigitali.

01

Custom Software Development

Tunatengeneza mifumo kulingana na workflow, idara, watumiaji na ripoti ambazo taasisi yako inahitaji.

02

Management Information Systems

Mifumo ya kusimamia data, watumiaji, approvals, dashboards, documents na taarifa za uongozi.

03

Education Management Systems

Mifumo ya kusaidia vyuo na shule kusimamia wanafunzi, masomo, walimu, malipo, mitihani na ripoti.

04

Support & Improvement

Tunaendelea kuboresha mifumo baada ya uzinduzi kupitia support, updates, security checks na user feedback.

Products

Solutions ambazo unaweza kuona demo sasa.

Omba presentation

Agriculture Management

Kilimo App

Mfumo wa kusaidia shughuli za kilimo kusimamia wakulima, mazao, taarifa za uzalishaji, huduma, ufuatiliaji na ripoti za miradi ya kilimo.

Fungua demo

Institution Management

ZEEAMS

Solution ya usimamizi wa taasisi, taarifa na michakato ya kiutendaji kwa mazingira yanayohitaji mpangilio na accountability.

Fungua demo

Youth Council

Baraza la Vijana Management System

blvMS husaidia kusimamia taarifa, wanachama, shughuli, vikao, maamuzi na ripoti za mabaraza ya vijana.

Fungua demo

Education Management

JuuCMS

Juu College Management System kwa ajili ya vyuo na shule kusimamia wanafunzi, staff, masomo, ada, mitihani na taarifa za kitaaluma.

Fungua demo

Tunaowahudumia

Solutions kwa sekta zenye mahitaji tofauti.

Biashara Kilimo Serikali NGOs Taasisi za elimu Mabaraza ya vijana Mashirika na miradi

Namna Tunavyofanya Kazi

Kutoka wazo hadi mfumo unaotumika.

Tunaanza kwa kuelewa tatizo, tunatengeneza prototype, tunajenga kwa awamu, tunajaribu na watumiaji, kisha tunasaidia deployment na support.

  1. DiscoverKusikiliza mahitaji na kuchora workflow.
  2. DesignKuandaa user experience na structure ya mfumo.
  3. BuildKutengeneza, kuunganisha na kufanya testing.
  4. SupportKusimamia maboresho na ukuaji wa matumizi.

Mawasiliano

Tuongee kuhusu mfumo unaohitaji kujenga au kuboresha.

Unaweza kuomba demo, presentation, au ushauri wa awali kuhusu solution inayofaa kwa taasisi yako.